Vifurushi vya DStv Tanzania Na Bei Zake 2023

Vifurushi vya DStv Tanzania Na Bei Zake 2023 | Angalia Bei Mpya Za Vifurushi Vya DSTV 2023 Hapa

DStv ni mtoa huduma maarufu wa televisheni za kidijitali kwenye nchi mbalimbali barani Africa ikiwemo Tanzania. DSTV Imewekeza kwa ukubwa katika kupata haki za vipindi mbalimbali vinavyopendwa na watazamaji wengi ili kutoa huduma zenye ubora wa maudhui kwa kila meja wao. DStv inatoa chaneli mbalimbali zilizowekwa katika mfumo wa vifurushi mbalimbali ili kuendana na bajeti na mapenzi ya watazamaji mbalimbali.

Mbali na chaneli za ndani yani chaneli za Tanzania kama vile TBC, ITV, Clouds TV, Wasafi Tv na EATV, Vifurushi vya DSTV vina chaneli zinazorusha maudhui tofauti kutoka katika mataifa mbalimbali duniani. Iwe unataka kutazama filamu, Mpira wa miguu, Mashindano ya magari, WWE, Cricket au habari kutoka mataifa mbalimbali duniani, DStv Tanzania ina Vifurushi ambavyo bilashaka vitakidhi mahitaji yako na kukufanya kufurahia Tv yako wakati wote unapokua sebuleni mwako.

Gharama Za Vifurushi Vya DSTV Tanzania 2023

Kama umenunua king’amuzi cha DSTV ivi karibuni na unahitaji kujua bei ya vifurushi vya DSTV 2023 na kifurushi kipi unachoweza kujiunga nacho, ambacho kitakupatia chaneli zenye vipindi vyako pendwa na gharama ya vifurushi vya DSTV kwa mwezi, basi hapa tumekuletea taarifa zote unazoweza hitaji kuhusu DSTV Tanzania.

Vifurushi vya DStv Tanzania Na Bei Zake 2023

Jedwali lililopo hapa chini linaonesha bei za sasa za vifurushi mbalimbali vya DSTV Tanzania.

Kifurushi Idadi Ya Chaneli Bei Ya Kifuruhi
DSTV Premium 150+ TZsh 155,000
DSTV Compact Plus 140+ TZsh 99,000
DSTV Compact 130+ TZsh 56,000
DSTV Shangwe 100+ TZsh 34,000
DSTV Bomba 80+ TZsh 23,000
DSTV  POA 40+ TZsh 10,000
Vifurushi vya DStv Tanzania Na Bei Zake 2023
Vifurushi vya DStv Tanzania Na Bei Zake 2023

Bei Ya Kifurushi Cha DSTV Premium

Kifurusi cha DSTV Premium ni kifurushi ghari zaidi katika vifurushi vyote vya DSTV. Ili uweze kuunganishwa na kifurushi ca DSTV Premium, unahitajika kulipia Shilingi za kitanzania laki moja na elfu hamsini na tano 155,000.

Bei Ya Kifurushi Cha DSTV Premium
Bei Ya Kifurushi Cha DSTV Premium

Kifurushi hiki kitakupa uwezo wa kuangalia chaneli zaidi 150 katika televisheni yako. Utaweza kuangalia michezo yote ya mpira wa miguu kutoka ligi kuuu mbalimbali duniani ikiwemo, EPL, Laliga, Bundasliger, Seria A, UEFA Champions, Europa na zaidi. Pia utaweza kuangalia filamu za kila aina bila kusahau chaneli zaidi ya 50 zinazo onesha vipindi vitakavyo wafanya watoto wako wajifunze uku wakifurahi.

Bei Ya Kifurushi Cha DSTV Compact Plus

Kifurushi cha DStv Compact plus ndicho ni kifurushi chenye channeli nyingi ukitoa kifurushi cha DSTV premium. Bei ya kifurushi cha DSTV compact plus ni shilingi za kitanzania 99,000 ambayo inatakiwa kulipwa kila mwezi. Kifurushi hiki kina chaneli zitakazo kupa fursa ya kutazama habari za Tanzania na mataifa mbalimbali duniani, Kuangalia chaneli ya Nat Geo Wild, na pia kupata chaneli zenye burudani za kila aina.

Bei Ya Kifurushi Cha DSTV Compact Plus

Kifurushi hiki kimejumuisha zaidi ya chaneli 135 ambapo kati ya hizo kuna chaneli zaidi ya 30 zitakaso kupa burudani katika HD na kukufanya upate burudani ilio bora zaidi wewe na familia yako. Pia kama wewe ni mpenzi wa michezo, DStv Compact plus inafanya uangalie mechi zote za ligi ya mabingwa ulaya, Ligi ya uingereza, ligi kuu hispania, ligi ya italia na zaidi.

Bei Ya Kifurushi Cha DSTV Compact

Kifurushi Cha DSTV Compact ni moja kati ya vifurushi vya DSTV vyenye bei nzuri zaidi na huduma bora kwa watu wenye kipato cha kati. Kifurushi hiki kinapatikana kwa kulipia 56,000 shilingi za kitanzania na kitakupa fursa ya kutazama zaidi ya chaneli 120 ambazo zitakupa burudani za kila haina na habari kutoka kona mbalimbali za dunia.

Bei Ya Kifurushi Cha DSTV Compact

Bei Ya Kifurushi Cha DSTV Shangwe

Kifurushi Cha DSTV Shangwe au DSTV Family kama kilivyokua kikijulikana apo awali ni moja kati ya vifurushi vya DSTV Tanzania chenye bei rahisi zaidi huku kikimpa mteja fursa ya kutazama chaneli nyingi kutoka mataifa mbalimbali duniani. Kifurushi hiki kimejazwa zaidi ya chaneli 115 na ambapo zaidi ya 15 zitakupa nafasi ya kupata burudani kwa HD.

Bei Ya Kifurushi Cha DSTV Shangwe
Bei Ya Kifurushi Cha DSTV Shangwe

Bei ya Kifurushi cha DSTV Shangwe 2023 ni 34,000 shilingi za kitanzania kwa mwezi ambapo kwa mwaka ni shilingi 374,000. Kifurushi hiki kinacheneli nyingi kwa ajili ya watoto ambapo kupitia chaneli hizo watoto wako wanaweza kujifunza vitu mbalimbali uku wakiburudika. Pia kama wewe ni mpenzi wa laliga, kupitia DSTV Shangwe utaweza kutazama michezo yote ya ligi hii na zaidi kufuatilia muvi mbalimbali za kiswahili katika chaneli za Africa magic swahili na Africa magic bobgo.

Editor’s Picks:

  1. Dstv Decoder Price in Tanzania | Bei Ya King’amuzi Cha Dstv 2023
  2. Jinsi Kulipia Vifurushi Vya DSTV Kwa Tigo Pesa 2022
  3. Jinsi Ya Kulipia DSTV Kwa Airtel Money 2022
  4. Bei Ya King’amuzi cha Startimes 2023 Decoder Price
  5. Jinsi Ya Kujiunga Na Vifurushi Vya Startimes
  6. Code Za Mitandao Ya Simu Tanzania | Namba Za Simu Tanzania
  7. Jinsi Ya Kulipia King’amuzi Cha Azam Airtel Money, M-pesa, Halopesa And Tigo pesa 2022