Mishahara Ya Wachezaji Wa Manchester United Fc 2022/2023

Mishahara Ya Wachezaji Wa Manchester United Fc 2022/2023

Club ya kandanda Manchester United imekua miongoni mwa club zilizotumia pesa nyingi ndani miaka ya hivi karibuni katika usajili na mishahara ya wachezaji, lakini si swala la kubisha kua baadhi ya wachezaji waliosajiliwa na Man U ni aina ya wachezaji wenye profile kubwa na bei ghali.

Kikosi cha Erik ten Hag kinaripotiwa kuwa na wachezaji wengi ambao wamekua wakihusishwa kwenye orodha mbalimbali za wachezaji wanaolipwa mishahara mikubwa zaidi katika Ligi Kuu ya Uingereza namligi mbalimbali Duniani. Japo kua Mashetani wekundu wamekua na matokeo mabaya katika michezo yao ya ivi kalibuni, Timu hii imeweza kusajili wachezaji mbalimbali kama vile Casemiro, Martinez na Ericksen ambao wote wamekua na mchango mkubwa katika kuboresha kikosi cha Erick Tenhang.

Mishahara Ya Wachezaji Wa Manchester United Fc 2022/2023

Hapa tumekuletea taarifa kuhusu Mishahara Ya Wachezaji Wa Manchester United Fc 2022/2023 ilio katika Tanzania shillings. Ni muhimu kuzingatia kua wachezaji wa Man U wanalipwa kwa Euro ila hapa tumeibadilisha kua Tzs kwa exchange rate ya 2,420.04Tzs.

Mishahara Ya Wachezaji Wa Manchester United Fc 2022/2023

Jina La Mchezaji Mshahara Kwa Mwaka Position Umri Uraia
Cristiano Ronaldo                   64,808,671,200 CF 37 Portugal
David de Gea                   47,190,780,000 GK 31 Spain
Jadon Sancho                   44,044,728,000 LW 22 England
Raphaël Varane                   42,786,307,200 CB 29 France
Casemiro                   37,752,624,000 DM 30 Brazil
Anthony Martial                   31,460,520,000 CF 26 France
Bruno Fernandes                   30,202,099,200 AM 27 Portugal
Marcus Rashford                   25,168,416,000 LW 24 England
Antony                   25,168,416,000 RW 22 Brazil
Harry Maguire                   23,909,995,200 CB 29 England
Luke Shaw                   18,876,312,000 LB 27 England
Christian Eriksen                   18,876,312,000 AM 30 Denmark
Victor Lindelöf                   15,101,049,600 CB 28 Sweden
Donny van de Beek                   15,101,049,600 CM 25 Netherlands
Fred                   15,101,049,600 CM 29 Brazil
Lisandro Martínez                   15,101,049,600 CB 24 Argentina
Aaron Wan-Bissaka                   11,325,787,200 RB 24 England
Tyrell Malacia                     9,438,156,000 LB 23 Netherlands
Phil Jones                     9,438,156,000 CB 30 England
Brandon Williams                     8,179,735,200 LB 21 England
Scott McTominay                     7,550,524,800 DM 25 Scotland
Axel Tuanzebe                     6,292,104,000 CB 24 England
Tom Heaton                     5,662,893,600 GK 36 England
Martin Dubravka                     5,033,683,200 GK 33 Slovakia
Diogo Dalot                     3,146,052,000 RB 23 Portugal
Facundo Pellistri                     2,516,841,600 RW 20 Uruguay
Anthony Elanga                         629,210,400 LW 20 Sweden
Alejandro Garnacho                         629,210,400 LW 18 Argentina
Shola Shoretire                         629,210,400 RW 18 England
Teden Mengi                         629,210,400 CB 20 England
Mason Greenwood                                             – RW 20 England

Editor’s Picks:

  1. Wachezaji Wanaolipwa Pesa Nyingi La Liga 2022/2023
  2. Wachezaji Wanaolipwa Pesa Nyingi EPL 2022
  3. Mishahara Ya Wachezaji Wa Azam 2022/2023
  4. Mishahara Ya Wachezaji Wa Yanga 2022/2023
  5. Mishahara Ya Wachezaji Wa Simba 2022/2023
  6. Vilabu Tajiri Afrika 2022/2023
🔥 Passionate writer at jinsiyaonline.com, igniting the path to educational success 🚀 🎓 Unlock your potential with Desamparata's expertise in education, delivering valuable insights and actionable advice 💡 📚 Join the journey of knowledge and empowerment with Desamparata as your trusted companion