Kikosi Cha Argentina Kombe La Dunia 2022

Kikosi Cha Argentina Kombe La Dunia 2022: Nyota watakao iwakilisha Argentina katika kombe la dunia Qatar 2022 kimetajwa uku kipenzi cha fans wengi wa mpira dunia kote lionel Messi akiongoza kikosi icho.

Timu ya Argentina imekua miongoni mwa timu zinazotabiriwa makubwa katika kombe la Dunia mwaka huu kutokana na ubora wa wachezaji wanaokamilisha kikosi cha timu. Mabingwa wa Copa America 2021 wana wasakata bumbu hatari wanaoshiriki ligi kubwa duniani akiwemo Lionel Messi, Angel Di Maria, Lautaro Martinez na wengine wengi ambao wanao uwezo binafsi wa kupindua meza na kubadili matokeo ya mchezo mda wowote.

Lionel Messi anatarajia kua na jukumu kubwa kuiongoza Argentina katika mashindano haya ya Kombe La Dunia Qatar, ambayo amesibitisha kua itakua mara yake ya Mwisho kushiriki mashindano haya baada ya kutimia umri wa miaka 35. Kama wewe ni mpenzi wa mpira na unafatilia Kombe la dunia Qatar, basi hapa tumekuletea kikosi rasmi ya timu ya Taifa ya Argentina.

Kikosi Cha Argentina Kombe La Dunia 2022

Kikosi Cha Argentina Kombe La Dunia 2022
Kikosi Cha Argentina Kombe La Dunia 2022

Angalia hapa chini Kikosi Cha Argentina kinacho shiriki mechi za Kombe La Dunia Qatar 2022

Magolikipa

  1. Franco Armani kutoka River Plate (ARG)
  2. Emiliano Martinez kutoka Aston Villa (ENG)
  3. Geronimo Rulli kutoka Villarreal (ESP)

Mabeki

  1. Juan Foyth kutoka Villarreal (ESP)
  2. Lisandro Martinez kutoka Man United (ENG)
  3. Nahuel Molina kutoka Atletico Madrid (ESP)
  4. Gonzalo Montiel kutoka Sevilla (ESP)
  5. Nicolas Otamendi kutoka Benfica (POR)
  6. German Pezzella kutoka Real Betis (ESP)
  7. Cristian Romero kutoka Tottenham (ENG)
  8. Nicolas Tagliafico kutoka Lyon (FRA)

Viungo

  1. Marcos Acuna kutoka Sevilla (ESP)
  2. Rodrigo De kutoka Atletico Madrid (ESP)
  3. Enzo Fernandez kutoka Benfica (POR)
  4. Alejandro ‘Papu’ kutoka Sevilla (ESP)
  5. Alexis Mac kutoka Brighton (ENG)
  6. Exequiel Palacios kutoka Bayer Leverkusen (GER)
  7. Leandro Paredes kutoka Juventus (ITA)
  8. Guido Rodriguez kutoka Real Betis (ESP)

Washambuliaji

  1. Julian Alvarez kutoka Man City (ENG)
  2. Thiago Almada kutoka Atlanta United (USA)
  3. Angel Di kutoka Juventus (ITA)
  4. Paulo Dybala kutoka AS Roma (ITA)
  5. Angel Correa kutoka Atletico Madrid
  6. Lautaro Martinez kutoka Inter Milan (ITA)
  7. Lionel Messi kutoka PSG (FRA)

Editor’s Picks

  1. Kikosi Cha Uingereza Kombe La Dunia 2022
  2. Kikosi Cha Ufaransa Kombe La Dunia 2022
  3. Msimamo Ligi Kuu Zanzibar 2022/2023 PBZ Premier League Table
  4. Kikosi Cha Simba Sc Dhidi Ya Ruvu Shooting Leo 18/11/2022
  5. Msimamo Wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/23 | NBC Premier League
🔥 Passionate writer at jinsiyaonline.com, igniting the path to educational success 🚀 🎓 Unlock your potential with Desamparata's expertise in education, delivering valuable insights and actionable advice 💡 📚 Join the journey of knowledge and empowerment with Desamparata as your trusted companion