Jinsi Ya Kujiunga Na Vifurushi Vya Startimes: Star Media (Tanzania) Limited au StarTimes kama inavyojulikana na watu wengi, ni kampuni ya teknolojia ambayo chimbuko lake limeanza nchini china mnamo mwaka 1988. Tangu kuanzishwa kwake startiems imekua miongoni mwa makampuni bora yanayotoa huduma ya ving’amuzi vya televisheni vya kidijitali katika nchi mbalimbali Africa. Hadi sasa 2022, Startimes inatoa huduma zake katika nchi 10 za Afrika ambazo ni Nigeria, Tanzania, Kenya, Rwanda, Uganda, Guinea, Jamhuri ya Afrika ya Kati, Burundi, Msumbiji na Senegal.
Kama umenunua kinga’amuzi cha startimes ivi kalibuni na haujajua Jinsi Ya Kujiunga Na Vifurushi Vya Startimes basi hapa tutakujuza namna utakavyoweza kulipia kifurushi chako pendwa ndani ya mda mchache.
Jinsi Ya Kujiunga Na Vifurushi Vya Startimes
Kutokana na maendeleo ya teknolojia yanayoendele kufanyika kila kukicha, sasa ni rahisi zaidi kujiunga au kulipia vifuruhi vya startimes. Unaweza kulipia kifurushi chako kupitia nyia mbalimbali kama vile Banks, huduma za simu mfano , Mpesa, Airtel Money na Tigo pesa.
Nja rahisi na ya haraka ambayo tunapendekeza itumike katika kulipia vifurushi vya startimes in kupitia huduma za kifedha za simu. Soma muongozo ufuatao ili uweze kulipia king’amuzi chako cha startimes kupitia M-pesa, Airtel Money au Tigo pesa.

Jinsi Ya Kulipia Vifurushi Vya Startimes Kwa Tigo Pesa
- Ingiza *150*01# kwenye simu yako kisha piga
- Chagua lipia Bili
- Chagua nambari 2 kupata majina ya kampuni
- Chagua namba 5 kingiamuzi
- Chagua namba 2 Startimes
- Chagua namba 1 weka namba ya kumbukumbu
- Ingiza namba ya kumbukumbu ambayo ni (Smart card namba ya king’amuzi chako)
- Ingiza kiasi kamiti cha kifurushi unachotumia
- Ingiza namba ya Sid kuhakiki
- Utapokea ujumbe kuthibitisha muamata wako wa malipo.
Jinsi Ya Kulipia Vifurushi Vya Startimes Kwa M-pesa
- Ingia kwenye Menu ya M-PESA kwa kupiga *150*01#
- Chagua namba 4 Lipia Bill
- Kisha chagua kwenye orodha
- Chagua King’amuzi
- Fungua Kisha chagua 2 Startimes
- Ingiza namba ya kumbukumbu ya malipo
- Ingiza kiasi cha pesa unachotaka lpia
- Ingiza nywira/password yako ya akaunti yako ya M-pesa
Editor’s Picks:
- Jinsi Ya Kuhakiki Bima Ya Gari | Car Insurance Validity Check In Tanzania
- NSSF Balance Check Online | Jinsi Ya Kuangalia Salio NSSF Kwa Simu
- TMS Traffic Check | Jinsi Ya Kuangalia Deni La Gari Parking 2022
- Jinsi Ya Kuangalia Usajili Wa Namba ya Simu
- Jinsi Ya Kulipia King’amuzi Cha Azam Airtel Money, M-pesa, Halopesa And Tigo pesa 2022
- Jinsi Ya Kubadilisha Combination/Tahasusi Form Five 2022
- Jinsi Kulipia Vifurushi Vya DSTV Kwa Tigo Pesa 2022
Leave a Reply